Mika 5:5

swh_bibMika 5:5

Naye atakuwa amani yao. Ukombozi Na Uharibifu Wakati Mwashuru atakapovamia nchi yetu na kupita katika ngome zetu, tutawainua wachungaji saba dhidi yake, hata viongozi wanane wa watu.

eng_kjvMicah 5:5

And this man shall be the peace, when the Assyrian shall come into our land: and when he shall tread in our palaces, then shall we raise against him seven shepherds, and eight principal men.