Yohana 12:34

swh_bibYohana 12:34

Ule umati wa watu ukapiga kelele ukasema, “Tumesikia kutoka Sheria kwamba ‘Kristo adumu milele,’ wewe wawezaje kusema, ‘Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu’ ? Huyu ‘Mwana wa Adamu’ ni nani?”

eng_kjvJohn 12:34

The people answered him, We have heard out of the law that Christ abideth for ever: and how sayest thou, The Son of man must be lifted up? who is this Son of man?