Kumbukumbu La Torati 29:28

swh_bibKumbukumbu La Torati 29:28

Katika hasira kali na katika ghadhabu kuu Bwana aliwangʼoa kutoka nchi yao na kuwasukumia katika nchi nyingine, kama ilivyo sasa.”

eng_kjvDeuteronomy 29:28

And the LORD rooted them out of their land in anger, and in wrath, and in great indignation, and cast them into another land, as it is this day.