swh_bibKumbukumbu La Torati 20:12
Ikiwa watakataa kufanya mapatano ya amani na wakiwaingiza katika vita, basi mtauzunguka mji huo kwa vita.
eng_kjvDeuteronomy 20:12
And if it will make no peace with thee, but will make war against thee, then thou shalt besiege it: