Kumbukumbu La Torati 1:44

swh_bibKumbukumbu La Torati 1:44

Waamori ambao waliishi katika vilima hivyo waliinuka dhidi yenu, wakawafukuza kama kundi la nyuki wakiwapiga njia yote ya Seiri mpaka Horma.

eng_kjvDeuteronomy 1:44

And the Amorites, which dwelt in that mountain, came out against you, and chased you, as bees do, and destroyed you in Seir, even unto Hormah.