swh_bibKumbukumbu La Torati 18:9
Wakati mtakapoingia katika nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa, msijifunze kuiga njia za machukizo za mataifa ya huko.
eng_kjvDeuteronomy 18:9
¶ When thou art come into the land which the LORD thy God giveth thee, thou shalt not learn to do after the abominations of those nations.