Kumbukumbu La Torati 11:22

swh_bibKumbukumbu La Torati 11:22

Kama mkishika kwa makini maagizo haya yote ninayowapa kuyafuata, ya kumpenda Bwana Mungu wenu, kuenenda katika njia zake zote na kushikamana naye kwa uthabiti,

eng_kjvDeuteronomy 11:22

¶ For if ye shall diligently keep all these commandments which I command you, to do them, to love the LORD your God, to walk in all his ways, and to cleave unto him;