Kumbukumbu La Torati 11:12

swh_bibKumbukumbu La Torati 11:12

Ni nchi ambayo Bwana Mungu wenu anaitunza; macho ya Bwana Mungu wenu yanaitazama daima kutoka mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.

eng_kjvDeuteronomy 11:12

A land which the LORD thy God careth for: the eyes of the LORD thy God are always upon it, from the beginning of the year even unto the end of the year.