Matendo Ya Mitume 9:36

swh_bibMatendo Ya Mitume 9:36

Huko Yafa palikuwa na mwanafunzi jina lake Tabitha (ambalo kwa Kiyunani ni Dorkasi ). Huyu alikuwa mkarimu sana, akitenda mema na kuwasaidia maskini.

eng_kjvActs 9:36

¶ Now there was at Joppa a certain disciple named Tabitha, which by interpretation is called Dorcas: this woman was full of good works and almsdeeds which she did.