swh_bib2 Samweli 19:8
Kwa hiyo mfalme akaondoka akaketi kitini pake penye lango. Watu walipoambiwa, “Mfalme ameketi langoni,” watu wote wakamjia. Daudi Arudi Yerusalemu Wakati huo, Waisraeli walikuwa wamekimbilia nyumbani kwao.
eng_kjv2 Samuel 19:8
Then the king arose, and sat in the gate. And they told unto all the people, saying, Behold, the king doth sit in the gate. And all the people came before the king: for Israel had fled every man to his tent.