1 Wafalme 19:9

swh_bib1 Wafalme 19:9

Huko akaingia katika pango, akalala humo usiku ule. Bwana Amtokea Eliya Nalo neno la Bwana likamjia, kusema, “Unafanya nini hapa, Eliya?”

eng_kjv1 Kings 19:9

¶ And he came thither unto a cave, and lodged there; and, behold, the word of the LORD came to him, and he said unto him, What doest thou here, Elijah?