1 Mambo Ya Nyakati 25:9

swh_bib1 Mambo Ya Nyakati 25:9

Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu,wanawe na jamaa zake,12Ya pili ikamwangukia Gedalia,yeye na wanawe pamoja na jamaa zake,12

eng_kjv1 Chronicles 25:9

Now the first lot came forth for Asaph to Joseph: the second to Gedaliah, who with his brethren and sons were twelve: